asante chief,
Anzia dakika ya 2:20
ngoja niutafute, huyu mama nyimbo zake zinanifanyaga niione ulaya na africa kwa utofauti flani hivi...Kama unapenda nyimbo za Enya sikiliza A wild Child
Kweli kbsa ,,,pia tafuta ya mohican wamexico inatia uzuni sanaNow we are Free, composed by Hans Zimmer
It's really one of the best!
sijui kama utanielewa ila kama ww ni mpenzi wa history ya africa utaona jinsi ulaya na africa jinsi zinavyo Link together na pia kama umewai kutembea nchi za ulaya utaona mengi kuhsu africa,Unamaanisha nini hapo mkuu!
Swadaktaa, picha la 1987 but ikatamba sana through 1990s. Bonge moja la soundtrack.tiiii tiliiiliiii tii tiliiii tititiiiiii
achaneni na ma movie ya long time kitu delta force hiko, Niko dirishan nyumba ya jiran hapo
Part yake kwenye Movie hii hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naipenda sana hii google Little richard with long tall sally nadhani uta enjoy sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ohhhh beibe, Oohh beib (Predator) I like it mwenye kuujua jina na singer anijulishe