Kuna movie moja ya kitambo kidogo nafikili ni 1988, ya kihindi inaitwa hatya. staring govindra ,ase kuna kuna vigoma flani viwili sio poa hivyo!! Mtaani hilo movie tulikuwa tunaliita govinda la yaya!.. afu kuna movie lingine lakuitwa the hard way.. ilo nalo goma lake sio poa(sound track) goma ndo tulivyokuwa tunaita uswahilini.. hilo movie mtaani lilijulikana kama mzee hard way (mzee/the) au jina lingine mniga analiwa na mamba.