Movie: The harder they fall (2021)

Movie: The harder they fall (2021)

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Kawaida western huwa zinakuwa na actors wazungu ila hii ni macowboys weusi watupu tena wenye majina makubwa.

Stori ni jamaa kurevenge vifo vya wazazi wake lakini kuna plot twist moja nzuri sana. Nimekubali sana uigizaji wa Lakeith, Zazie na Idris Alba. Japo kuna baadhi ya gun fight tumepigwa ila ni Movie moja kali sana.

The_Harder_They_Fall_(2021_film).jpg
 
Aaah naskia hii jay z kuna mkono wake na kashiriki kuitayarisha pia lakini mbona viwango inapewa rate ndogo sana kwanini
 
Jigga katia mkono kidogo hasa kwa soundtrack. Rate zake mbona kubwa sana.
 
Kawaida western huwa zinakuwa na actors wazungu ila hii ni macowboys weusi watupu tena wenye majina makubwa.

Stori ni jamaa kurevenge vifo vya wazazi wake lakini kuna plot twist moja nzuri sana. Nimekubali sana uigizaji wa Lakeith, Zazie na Idris Alba. Japo kuna baadhi ya gun fight tumepigwa ila ni Movie moja kali sana.
Kingine kinachonifurahisha kwenye hizi movie ni ile vile wanavyongea English(matamshi), utafikri mdomoni kajaza kubeli.
 
Acha niitulizie leo maana nimetoka kuangalia kitu Cha terrence hill. My name is no body
 
Back
Top Bottom