3D. JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,018 Reaction score 284 Jan 15, 2024 #141 Wamejitahidi. Katika 100 nawapa 5% Filamu imejaa giza. Maongezi siyo halisia. Tupende vya kwetu. Tuambiane ukweli.
Wamejitahidi. Katika 100 nawapa 5% Filamu imejaa giza. Maongezi siyo halisia. Tupende vya kwetu. Tuambiane ukweli.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 15, 2024 #142 Majighu2015 said: Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe. Click to expand... Ile IST ya kwenye trailer ipo au walitoa hiyo scene?
Majighu2015 said: Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe. Click to expand... Ile IST ya kwenye trailer ipo au walitoa hiyo scene?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 15, 2024 #143 Saint Anne said: Predator ya mwaka 87 ni kali kuliko hii eonii ya 2023 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hujui kwamba Tanzania bado ipo 1940 ya Ulaya na US...
Saint Anne said: Predator ya mwaka 87 ni kali kuliko hii eonii ya 2023 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hujui kwamba Tanzania bado ipo 1940 ya Ulaya na US...