mcheki DM.Baada ya kumuona mwanadada/mwanamama Genevive Nnaji akizindua movie yake Netflix huku akisifiwa na wengi wakiwemo sisi watanzania, nikakumbuka nyumbani pia mbona mwaka juzi 2017 msanii wetu Idris Sultan alipewa nafasi ya kuigiza Hollywood na Director mkubwa kabisa kwenye movie inayoitwa 'Ballin...on the other side of the World'.
Swali: Hiyo movie bado haijakamilika na sisi tuweze kumuona tukijivunia kama wakenya na wanaija?
Ni hayo tu kwa leo.
ilikuwa ni proposal tu ,hawakufanikiwa hata kupata fund,producer gani atoe 17 million dollars kwa cast isiyoeleweka ,ale hasara?Baada ya kumuona mwanadada/mwanamama Genevive Nnaji akizindua movie yake Netflix huku akisifiwa na wengi wakiwemo sisi watanzania, nikakumbuka nyumbani pia mbona mwaka juzi 2017 msanii wetu Idris Sultan alipewa nafasi ya kuigiza Hollywood na Director mkubwa kabisa kwenye movie inayoitwa 'Ballin...on the other side of the World'.
Swali: Hiyo movie bado haijakamilika na sisi tuweze kumuona tukijivunia kama wakenya na wanaija?
Ni hayo tu kwa leo.
Kwa hiyo wamekula hasar nauli mixer location?mi nadhani hayo yote yana andaliwa mpema kabla ya hara.ilikuwa ni proposal tu ,hawakufanikiwa hata kupata fund,producer gani atoe 17 million dollars kwa cast isiyoeleweka ,ale hasara?
hawakufika hata location,hiyuo movie imeishia board room, no money, no fund.ipo kwenye makaratasi yale ya kina idriss yalikuwa mbwembwe za kibongo,kutishana tuKwa hiyo wamekula hasar nauli mixer location?mi nadhani hayo yote yana andaliwa mpema kabla ya hara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona nadhani ata act as security chief lakin hawajawaweka picha zao kama.character wenginea.k.a kabobo, ipo kwenye pre production yani ipo kwenye makaratsi a.k.a script
View attachment 994117
hakuna movie,hawana hela walikuwa wanategemea kupata hela toka kwa producers 17 million usd,walichonacho ni script tuNimeona nadhani ata act as security chief lakin hawajawaweka picha zao kama.character wengine