Movie ya kusoma namba ndiyo ipo part 2 leo imeanza

kichakaa man

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
5,500
Reaction score
5,164
Ile movie ya KUISOMA NAMBA Leo part 2 yake ndo imeanza... Tuendelee Tu kuitazama nasikia inapaka part five(5)[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ni movie ya KIINDI Star akiwa ni MAGU KHAN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mchokozi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Tata apo shida nini? Wanaume wengine muraaaa kusoma namba kwao ni kazi ngumu
Kukata govi bila ganzi utaweza tata?
 
Na imeanza patamu.

Stelingi msaidizi jioni hii katoka kusema umeme usipande bei wafanyakazi wake usiku huu wamekata umeme.

Kesho kukikucha sijui itakua imefikia wapi.
 
Mleta mada nadhani kama sio mchaga ww basi ni small house ya mliyemteu.....mwanaume kamili hauwezi kuwa na maneno ya kike namna hiii!
 
Duuuh jombaa utafanya kesho pilau lini palie. ...subir skuku ziishe. ...
 
Mleta mada nadhani kama sio mchaga ww basi ni small house ya mliyemteu.....mwanaume kamili hauwezi kuwa na maneno ya kike namna hiii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante bila shaka na ww una jinsia ya kike
 
Babakokasomanamba
Mamakasoma
Kwaniniiwee naniiusiiisomee??
 
Na imeanza patamu.

Stelingi msaidizi jioni hii katoka kusema umeme usipande bei wafanyakazi wake usiku huu wamekata umeme.

Kesho kukikucha sijui itakua imefikia wapi.
Sisi kwetu umeme upo
 
*Im so shy to get into 2017 [emoji85][emoji85][emoji85]....its my first time [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....*
 
AAndika vizuri wew
E="Pdidy, post: 19111994, member: 8433"]Babakokasomanamba
Mamakasoma
Kwaniniiwee naniiusiiisomee??[/QUOTE]
Andika
 
Sisi kwetu umeme upo
Hapa ninapokaa eneo ambalo naona umeme upo ni Tanhouse, Maisha basement naona taa zao bado zinamulika, Abla Hotel and Apartments, Khana Khazana,
 
Hapa ninapokaa eneo ambalo naona umeme upo ni Tanhouse, Maisha basement naona taa zao bado zinamulika, Abla Hotel and Apartments, Khana Khazana,
Russian Embassy au Switzerland Embassy karibu na Reginal Mengi. ..umeme upo
 
MAULANA MOLA WETU RHABUKA NI MWAMINIFU KWA TAIFA LETU milele. ..heri ya mwaka mpya ndugu zangu watanzania wenzangu. ..mbarikiwe sana katika mema yote. ..Amen RA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…