koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 981
- 1,606
Mzuka wanajamvi?
Sina mengi ila nilitaka kushare haka kataarifa kafupi niliko nako kuhusu hii movie ya Action, Crime na Drama.
Kuna yule mtoto katika hii filamu anatumia jina la Vee ambaye mama yake ni Hannah, ebana kumbe huyu dogo Vee mama yake halisi ni mbongo namaanisha ni mtanzania kabisa.
Binafsi nimefarijika kwa hili kwa sababu kadha wa kadha mojawapo kubwa ni angalau Tanzania tuna muwakilishi katika ardhi ya Hollywood.
Kama haujaicheck hii movie nenda kaicheck iko poa. IMDB ina points 6.1 maanake iko gud.
Asanteni.