Movie ya Neria

Movie ya Neria

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Wapendwa Wapwa zangu hii movie nimeikumbuka sana sana naombeni mnisaidie naweza kuipata wapi kwa hapa Dar kwenye CD nikainunue au mwenye nayo anikodishe...imenikumbusha mambo fulani very binafsi, Asanteni kwa msaada wenu na MUNGU awabariki
 
Download ndio njia rahisi kabisa bwana elli....movie nzuri sana ya zimbabwe
 
Wapendwa Wapwa zangu hii movie nimeikumbuka sana sana naombeni mnisaidie naweza kuipata wapi kwa hapa Dar kwenye CD nikainunue au mwenye nayo anikodishe...imenikumbusha mambo fulani very binafsi, Asanteni kwa msaada wenu na MUNGU awabariki
Usipate tabu, nenda Msasani kwa John Riber wa taasisi ya
Media for Development International (MFDI) ambaye ndiye
producer wa hiyo movie. Hawa jamaa ndiyo watengenezaji
wa movie ya Chumo na tamthilia ya Siri ya Mtungi...
 
aya kumbe ni hawa jamaa, ilikua tulitaka tumpe kazi flani, thank you,
Usipate tabu, nenda Msasani kwa John Riber wa taasisi ya
Media for Development International (MFDI) ambaye ndiye
producer wa hiyo movie. Hawa jamaa ndiyo watengenezaji
wa movie ya Chumo na tamthilia ya Siri ya Mtungi...
Barkiwa sana Mpwa wangu
 
Ukizunguka China aka Kariakoo huwezi kukosa hasa maduka ya dvds

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Usipate tabu, nenda Msasani kwa John Riber wa taasisi ya
Media for Development International (MFDI) ambaye ndiye
producer wa hiyo movie. Hawa jamaa ndiyo watengenezaji
wa movie ya Chumo na tamthilia ya Siri ya Mtungi...
Oya jamaa hii serious
 
Back
Top Bottom