Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Download ndio njia rahisi kabisa bwana elli....movie nzuri sana ya zimbabwe
Usipate tabu, nenda Msasani kwa John Riber wa taasisi yaWapendwa Wapwa zangu hii movie nimeikumbuka sana sana naombeni mnisaidie naweza kuipata wapi kwa hapa Dar kwenye CD nikainunue au mwenye nayo anikodishe...imenikumbusha mambo fulani very binafsi, Asanteni kwa msaada wenu na MUNGU awabariki
Barkiwa sana Mpwa wanguUsipate tabu, nenda Msasani kwa John Riber wa taasisi ya
Media for Development International (MFDI) ambaye ndiye
producer wa hiyo movie. Hawa jamaa ndiyo watengenezaji
wa movie ya Chumo na tamthilia ya Siri ya Mtungi...
Oya jamaa hii seriousUsipate tabu, nenda Msasani kwa John Riber wa taasisi ya
Media for Development International (MFDI) ambaye ndiye
producer wa hiyo movie. Hawa jamaa ndiyo watengenezaji
wa movie ya Chumo na tamthilia ya Siri ya Mtungi...