Robweme Senior Member Joined May 20, 2009 Posts 178 Reaction score 6 Jun 23, 2009 #1 Jamani nauliza kati ya JF, kuna mtu anaweza kunielekeza wapi naweza kupata filam ya Things fall apart. Nilipenda sana kitabu cha things fall apart cha chinua achebe, kama kuna mtu amebahatika kupata filam yake basi anielekeze niipate wapi
Jamani nauliza kati ya JF, kuna mtu anaweza kunielekeza wapi naweza kupata filam ya Things fall apart. Nilipenda sana kitabu cha things fall apart cha chinua achebe, kama kuna mtu amebahatika kupata filam yake basi anielekeze niipate wapi
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Aug 18, 2009 #2 [ame]http://www.youtube.com/watch?v=4dj_OSkzL7M[/ame]