The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kuna mnigeria mmoja kwenye mtandaoni anaposti kuzikejeli movie za kihindi wenyewe badala ya kukubali makosa wanamshsmbulia na kutukana Waafrika.
Angalia kama hii hapa chini full utoto, sound na fix nyingi.
Pia hili hapa chini tangazo lao la cement yani full vichekesho.
Waje bongo movie wajifunze!
Angalia kama hii hapa chini full utoto, sound na fix nyingi.
Pia hili hapa chini tangazo lao la cement yani full vichekesho.