The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Oyaa wewee maliza kwanza swala halafu uje ujikite kwenye hoja/mada.Hii ni Khabar au khoja?
Hiyo cha Mtoto, Mtu anapigwa Risasi Kisemvule.... Bwana Mkubwa yupo Kariakoo anakimbia na anawahi kabla Risasi haijamfikia MlengwaHao kiboko.πππ.stering anamgandisha adui hewani kwa mkono mmoja
Hiyo cha mtoto tu hujamuona Jet Lee akizuia risasi kwa meno.Hiyo cha Mtoto, Mtu anapigwa Risasi Kisemvule.... Bwana Mkubwa yupo Kariakoo anakimbia na anawahi kabla Risasi haijamfikia Mlengwa
Nadhani hujamuona Sunny deol anakanyaga Bomu ili lilipuke aende juu adandie Ndege iliyomteka Demu wake weweHiyo cha mtoto tu hujamuona Jet Lee akizuia risasi kwa meno.
Ile imebeba ujumbe mzito sana ,pamoja na slum dog millionaireKuna za kihindi na ni nzuri sana mfano ile 3 idiots bonge la movie yaani