Movie za mafunzo zenye maudhui ya Kikristo

Movie za mafunzo zenye maudhui ya Kikristo

Bintyjp

Member
Joined
Jul 21, 2024
Posts
25
Reaction score
50
Habari wakuu..
Naomba msaada wa movie nzuri zenye maudhui ya kiristo ambazo ni inspirational ambazo zinaweza kumjenga mtu kiimani akiziangalia, zenye mafundisho, zisizo na scenes au picha chafu(za uchi).
 
Labda za Kinaigeria za siku za nyuma kidogo ila za kibongo lazima utakuta nusu uchi tu
 
Habari wakuu..
Naomba msaada wa movie nzuri zenye maudhui ya kiristo ambazo ni inspirational ambazo zinaweza kumjenga mtu kiimani akiziangalia, zenye mafundisho, zisizo na scenes au picha chafu(za uchi).
Zipo movie nyingi tu, kwa age categories mbalimbali. Anza na War Room (2015)
 
Habari wakuu..
Naomba msaada wa movie nzuri zenye maudhui ya kiristo ambazo ni inspirational ambazo zinaweza kumjenga mtu kiimani akiziangalia, zenye mafundisho, zisizo na scenes au picha chafu(za uchi).
1:I’m in love with a church girl-Ja rule
2:war room-Alex Kendrick
🇱🙏🏿🙏🏿 Tafuta hizo mkuu
 
'Miracles from heaven'
this is one of my favourite..!!
 
Hata za kimarekani
Final say ushawahi kuiona? Kuna mshkaji anakutana na demu kwenye ndege sasa ndege inachelewa kuondoka kwa sababu hali ya hewa sio nzuri demu anapandisha jazba kwa kuhofia kuchelewa kufika anapoenda.

Mshkaji anamwambia kuwa na subira, kuwa na imani utafika salama unapoenda. wakati wanasubiri safari ianze anaanza kumsimulia demu story ya wanandoa wawili jinsi waliangaika kupata mtoto mpaka kufika hatua ya kukata tamaa na kuachana.

Wazazi na viongozi wa dini walijaribu kuwasuluhisha ikashindikana. Dakika za mwisho kabisa kabla ya kusaini makaratasi ya talaka ndio mke anagundua ana mimba
 
Miaka ya zamani mwanzoni mwa miaka 90 kulikua Kuna cinema inaonyeshwa kwenye kitambaa mkristo mmoja na rafiki yake ambae alikua ni teja wa madawa ya kulevya,huyu mkristo alikua anapambana sana huyu mwenzie aokoke.
 
Back
Top Bottom