Movie za Marekani uwa zina Majina fulani hivi ya Miji ambayo yanasadikika kuwepo

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Ukiangalia muvi za Kimarekani unakutana na miji tofauti... Mfano..

Hogwarts muvi za Harry Potter.
Asgard muvi za Thor.
The Land of Oz.
Pandora muvi za Avatar.
Narnia muvi za Narnia.
Super Mario.
Disney Land
Middle East.
Wonderland.
Mushroom Kingdom.

Ushawahi kugoogle hii miji in real world inapatikana wapi? Ama unayafurahia tu kwa sababu yanasomeka vizuri?

Utakapoanza kuyatafuta kwa Google ndipo utakapojua kile ninachokwambia kila siku, utakapovuka Bara la Antraktiki, kuna maisha ya watu wengine yanaendelea.
 
mbona kama story za kusadikika
 
kuna ugumu gani kuvuka balafu hio imesimama kama ukuta.?
 
sasa wakifiche wewe ili iweje..??
 
Mambo n mengi mkuu na Dunia n kubwa sana aiseee..
 
Cha msingi huku napata maziwa mtindi basi wao waendelee kuita hayo majina
 
Haya mambo ya dunia tambarare...

Pilau la siku ya tatu huku zenji... Eid bado haijaisha, hizi mambo tutazijadili baadae
 
Back
Top Bottom