kitambaa Cha sofa
Member
- May 23, 2023
- 65
- 136
Wadau, mie mwenzenu ni mpenzi sana wa movie lkn nikienda ku-burn nakuta movie zote zimetafsiriwa kiswahili
Sasa mimi maskio yangu ni mazito sisikii vizur kwahiyo yule mkalimani huwa simsikii.
Sasa lengo la huu uzi naomba km kuna mdau ana movie ambazo hazijatafsiriwa lkn zina subtitle ya Kiingereza pale chini anielekeze jinsi ya kuzipata.
Niko Dar