Movie zenye English subtitle

Joined
May 23, 2023
Posts
65
Reaction score
136
Wadau, mie mwenzenu ni mpenzi sana wa movie lkn nikienda ku-burn nakuta movie zote zimetafsiriwa kiswahili
Sasa mimi maskio yangu ni mazito sisikii vizur kwahiyo yule mkalimani huwa simsikii.

Sasa lengo la huu uzi naomba km kuna mdau ana movie ambazo hazijatafsiriwa lkn zina subtitle ya Kiingereza pale chini anielekeze jinsi ya kuzipata.

Niko Dar
 
Subtitle unadownload mwenyewe then unaiweka kwenye hiyo movie unayoitaka,huwa nafanya hivyo kwa vlc player
 
nenda google andika jina la hiyo movie...alafu mbele yake weka neno english.srt.
 
Kama una device yenye access ya internet mfano simu au laptop download app ya opensubtitles. Hata movie ambayo haina subtitles unaweza kufanya settings mwenyewe tu au ukiwa na vlc player unaweza kudownload subtitles
 
 

Attachments

  • IMG_4244.jpeg
    1.7 MB · Views: 8
DVD Movies Eng subtitles hizo hapo kazi kwako,
 
Daah midude ya kimwamba ipo hapo
 
Duh! Mpaka leo bado kuna watu wana-burn movies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…