GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mimi siyo mtazamaji sana wa movies, si kwa sababu sipendi, ila ni vipaumbele. Ninapenda zaidi kusoma, hivyo mara nyingi nipatapo nafasi, hutumia kwa kusoma. Ukinikuta natamaza TV, ujue ni ama taarifa ya habari au documentary ya Kisayansi, n.k.
Lakini nimesoma mahala kuwa kuna movies zinazoweza kuhamasisha ubunifu wa kijasiriamali na kibiashara.
Naomba kwa yeyote anayefahamu azitaje movies nzuri zinazoweza kumpa mtu hamasa ya kijasiriamali au kibiashara. Ziwe zimechezwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
Asante🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏