GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Bora kutumia masaa matatu kunoa shoka ili niweze kukata mti kwa dakika tano kuliko kutumia masaa manne kukata mti kwa shoka butu.Huo muda unaupata wapi? Mjasiliamali badala ya kutafuta soko la bidhaa zako?
Tubarilike movie waavhiwe watumishi
Kwamba nyie wajasiriamali masaa 24 mnatafuta soko la bidhaa zenu? Hamna muda wa kupumzika?Huo muda unaupata wapi? Mjasiliamali badala ya kutafuta soko la bidhaa zako?
Tubarilike movie waavhiwe watumishi
Hakuna kitu kama hicho! Hata Bill Gates pamoja na kuwa na majukumu mengi, bado anapata muda wa kupumzika na kusoma vitabu.Kwamba nyie wajasiriamali masaa 24 mnatafuta soko la bidhaa zenu? Hamna muda wa kupumzika?
Ukiona mtu anakwambia hana muda huyo ni mtu asiejua kupanga mambo yake.Hakuna kitu kama hicho! Hata Bill Gates pamoja na kuwa na majukumu mengi, lakini bado anapata muda wa kupumzika na kusoma vitabu.
Kabisa mkuu!Ukiona mtu anakwambia hana muda huyo ni mtu asiejua kupanga mambo yake.
Salute kubwa mkuuπThe founder
Joy
Inside job
Well street
The social
The big short
House of Gucci
The wolf of wall street
The aviator
Gold
The pursuit of happiness
The informati
The corporation
Msimuliaji mmoja kule Quora anamnukuu mtajwa akimwambia mwanaye kuwa WATU WASHINDWAPO KUFANYA JAMBO, WATATAKA KUMWAMBIA NA YEYE KUWA HAWEZI.Pursuit of happness ya mzee baba Will Smith ni bonge la movie.Kuna kipande kimoja anamuambia mwanae usikubali hata siku moja mtu akuambie huwezi pambana bila kukata tamaa kwa jambo unalo amini utafanikiwa.
Sawa mkuu!THE ROYAL TOUR..
Ni bonge la movie sema nimekuja kushangaa dogo kaja kuwa kama shoga sijui km ni shoga kamili.Ila baba yake alimuonyesha njia ipasavyo sema kaharibika sana maana alikua anakuja vizuri sana.Msimuliaji mmoja kule Quora anamnukuu mtajwa akimwambia mwanaye kuwa WATU WASHINDWAPO KUFANYA JAMBO, WATATAKA KUMWAMBIA NA YEYE KUWA HAWEZI.
Nukuu yake kwa English kwa hisani ya mchangiaji wa Quora ni kama ifuatavyo:
"Don't ever let someone tell you that you can't do something. Not even me. You got a dream you got to protect it. When people can not do something themselves, they want to tell you that you can't do it. You want something then go get it! Period"- words by Chris Gardener to his son.
Mchangiaji kutoka Quora anahitimisha kwa kusema, "The film instills entrepreneurs with courage, hope, persistence, and hard work.
Naamini ni movie itakayonifaa. Nitaitafuta leo.
Walishafika kitambo sana!