Usijali.We si nilikwambia uwe unanitag?
𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐮.Radha zangu kabisa, umetisha mkuu
𝐔𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐰𝐞 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐭𝐮.Itabidi ni ipate hii mapema sana[emoji91]
Bado mkuuKisa kizuri sana. Ulishaitazama na Invisible Guest?
😄😄😄kwani lazima mbona unamfokeaWe si nilikwambia uwe unanitag?
Shukrani mkuuUkitaka kuzidownload, karibu telegram. Search UZI MKALI, utapata maelezo pamoja na movies for free.
𝐙𝐨𝐭𝐞 𝐧𝐢 𝐤𝐚𝐥𝐢.Kaka hii meander ni nzuri sana [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]hii BEFORE I GO TO SLEEP. Bonge la movie story kalii sana
𝐏𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚, 𝐤𝐚𝐤𝐚.Shukrani mkuu
Ndio lazima 😂😂😂😄😄😄kwani lazima mbona unamfokea
Karibu tena.Ngoja nijoin huko Telegram