GT, hii kitu nafanya hima niende kusini, Peramiho tena nipate kuiona, naona imewika sana... na kwa kukuaminia kwa vile umeonekana kuipenda sana, umuhimu wa kuiona umekolea...
....hivi inafyatuliwa lini hii kwenye big screen?
Mkulu hii kitu inafyatuliwa jumatano, wakati akina Clinton wanahijack convention mimi nitakuwa zangu theatre nakodolea macho hii kitu.....hivi inafyatuliwa lini hii kwenye big screen?
Kwa upande wa action movies navutiwa na Bourne trilogy films (BOURNE IDENTIT,BOURNE SUPREMACY na BOURNE ULTIMATUM)...movie hizi ni kali sana maana JASON BOURNE aka Captain DAVID WEBB(MATT DAMON) kafunika hasa katika mambo ya u'spy'.....yaani ni bonge la spy...Movie hizi zaweza kuwa zimetumia gaharama kubwa mno maana zimeaktiwa katika nchi za US,UK,India,France,Russia,Italia,Germany,Switzerland,Spain na Morocco
Lol mkulu kuna nyingine wanatumia technology ya green/blue screen na color keying.
Ndio nimetoka kuikodolea macho sasa hivi(I had to watch Bill's speech)...ebanae nimeipenda sana ile movie....Ila mchizi aliwasweka jamaa wote kwenye basi moja lol.Msee,
umeicheck TRAITOR leo? ipo safi nimeipenda...vipi wewe?
Msee,
umeicheck TRAITOR leo? ipo safi nimeipenda...vipi wewe?
TWO CAN PLAY THAT GAME (ni ya mwaka 2001 lakini ni nzuri hope mmeiona)...pia kuna hii ya mwaka huu THREE CAN PLAY THAT GAME (ya mwaka 2008) ni nzuri sana hasa kwa wawili wapendanao....zote hizi ni Romantic comedy films za VIVICA A. FOX