Sana[emoji1787]kumbe jamaa wengi wanamkubal huyo mwamba[emoji1787]
Kacheza vizuri mnoo character yake, mule ni vile ertugrul ni muhusika mkuu lakini jamaa angekuwa muhusika mkuu ingependeza zaidi.[emoji1787]kumbe jamaa wengi wanamkubal huyo mwamba[emoji1787]
Mzee baba 'still bado' haijakaa poa inabidi uchague moja hapo!.Kama hujaangalia GAME OF THRONE (GOT)
Still bado hujaangalia Tv show bora tangu kuumbwa kwa Adam