Movies za kizungu, kichina, kihindi, kifilipino zilizowekwa kiswahili ni mizinguo

Binafsi huwa nikikutana na movi za aina hii basi natafuta njia nyingine kuzikwepa. Walioweka kiswahili wananogesha hadi wanaharibu.

Angalau waweke subtitles.
Kwenye VO na subtitling kuna kitu kinaitwa localization. Kuna vinaongezwa ama kupunguzwa kutokana na walengwa.
Ukisoma comment za wakorea wanalalamika subtitle za squid game za kiingereza zilikuwa misleading...
 
Binafsi huwa nikikutana na movi za aina hii basi natafuta njia nyingine kuzikwepa. Walioweka kiswahili wananogesha hadi wanaharibu.

Angalau waweke subtitles.
Wiki iliyopita, nilibahatika kuiangalia picha moja, inaonyeshwa channel ya "SWAHILI" Jina la hiyo picha siijui, inaonyeshwa kwenye saa nne usiku. Mara kwa mara utasikia MR RAIS, MR RAIS. Sijui ni ya Kifiripino ileeee, lakini imeingizwa lugha ya Kiswahili. Sasa, nikawaona akina mama wanarushiana maneno. Mmoja akasema "labda kama mimi sijatoka……… .. " (aliutaja mkoa mmoja wa Tanzania ,jina nimelisahau). Nilichoka kabisa!
Maneno mengine, yanakuwa hayajasemwa na wahusika!
 
Inaitwa localization mkuu inafanyika kote kote si kwenye kiswahili tu.
Mfano: mhusika wa kihindi anasema nitakuwa maarufu kama Sharma Kumar, huyo mtu labda kwao ni maarufu ila watanzania hawamjui, ikiwekewa kiswahili hawatasema hivyo, watatumia jina la mtu ambaye watz watamfahamu waseme labda nitakuwa maarufu kama diamond.
Lengo ni mtu a relate na vitu anavyovijua. Hata hizi chatbot kama Bardi zinakuwa trained kukwambia vitu ambavyo unavijua pia.
 
Back
Top Bottom