Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Kati ya movies za Yesu ipi ulioikubali sana? Kati ya ile ya 1979 ambayo ilikuwa so popular hadi waliitafsiri kwa kiswahili au the passions of Christ?
Personally me ile ya kwanza ilikuwa nzuri sana but lugha haikuwa halisia kwani Yesu hakuongea kiingereza bali Aramaic ila stori was good na kuvutia na kiswahili kiliwekwa vizuri hadi nvokuja kucheki ya actual English hadi nikaona ya English ndo ilitafsiriwa jinsi nilivyoizoea ya Swahili Km Neria.
But the passions of Christ I thk is more authentic kwani waliongea Aramaic na Kihebrania na wale watawala wa Roma waliongea Latin so it was more accurate and authentic ingawa stori yake ilikuwa kuteswa sana hadi too much Jaman mwanzo mwisho lol. Wakristo mmeonaje?