Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
JARIBU WINE ITAKUSAIDIAHabari wakuu.
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26.
Kwa siku ya pili sasa nimekuwa niki experience kitu ambacho sijawahi kupata. Moyo umekuwa ukidunda mara moja kwa nguvu hadi kifua kucheza. Sipati maumivu yoyote, lakini natishika na hali hii. Nini maana ya hii wakuu?
Ahsanteni sana.
Acha ushauri wa kitoto ww aliekuambia stroke unapata ivyo ni naniunaelekea kupata stroke
Check na kipimo inaitwa ECG na Echo
Pata kipimo cha ECG, umeme wa mwili wako hauko sawa, kuna dawa utapewa utatumia, inawezekana unaupungufu fulani wa madini zinazohakikisha umeme huu uko sawa... Kamuone Dr anaitwa Cardiologist mara moja ila ikikupata kunywa maji utakuwa sawaHabari wakuu.
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26.
Kwa siku ya pili sasa nimekuwa niki experience kitu ambacho sijawahi kupata. Moyo umekuwa ukidunda mara moja kwa nguvu hadi kifua kucheza. Sipati maumivu yoyote, lakini natishika na hali hii. Nini maana ya hii wakuu?
Ahsanteni sana.
Inanipata ninapo kuwa nimepumzika, hasa asubuhi na jioni.Hii inakupata wakati gani labda? au mara zote au unapokuwa umelala
Ahsante sana mkuu, kesho mapema nitafanya hivyoPata kipimo cha ECG, umeme wa mwili wako hauko sawa, kuna dawa utapewa utatumia, inawezekana unaupungufu fulani wa madini zinazohakikisha umeme huu uko sawa... Kamuone Dr anaitwa Cardiologist mara moja ila ikikupata kunywa maji utakuwa sawa