Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Moyo kushindwa kusambaza damu kwa ghafla{/0} (ADHF) ni sababu ya kawaida na kubwa ya
kusababisha kushindwa kupumua kwa ghafla.

A man with congestive heart failure and marked jugular venous distension. External jugular vein marked by an arrow.

Uvimbe wa mapafu wa ghafla. Kumbuka moyo ulozidishwa ukubwa, mgawanyo wa juu wa vascula(mduara), na
mdogo wa pande zote za mtiririko wa damu kwenye membrini zilizoko kwenye mapafu (mshale)
visababishi
usugu wa kushindwa kwa uthabiti wa moyo unaweza kiulahisi kusababisha kushindwa kwa usambazaji wa damu. Hii kwa kawaida sana ni matokeo ya ugonjwa ulotokea karibuni (kama vile {)kichomi,{/0} uinifarakti wa
maiokaridiali (mshtuko wa moyo), pumu, shinikizo la damu lisilozibitiwa, au mgonjwa kushindwa kudumisha udhibiti wa maji, chakula au dawa. Sababu nyingine ambazo ni vizuri kutambuliwa na zinazochochea ni pamoja
na upungufu wa damu na utoaji wa kiwango cha juu cha homoni za koromeo ambazo zinaleta maumivu ya ziada
kwenye misuli ya moyo. Utumiaji mwingi wa vimiminika au ulaji wa chumvi, na dawa ambayo husababisha uwekaji wa maji kama vile NSAIDs na thiazolidinedione, pia inaweza kuchochea moyo kushindwa kusambaza damu .
uinifarakti wa maiokardia uliomkali unaweza kuchochea moyo kushindwa kusambaza damu kwa ghafla na
itapelekea kuibuka kwa kurejea kwa mtiririko wa damu katika viungo na damu kushindwa kufunga, kupitisha damu bila kupitia korinari, au kipandikizi cha upenyo wa ariteri ya coronari.
Tiba
katika moyo kushindwa kusambaza damu kwa ghafla, lengo la mara moja ni kuanzisha tena uingizaji damu wa kutosha na upelekaji wa oksijeni kwa viungo vyote vya mwisho. Hii inahusu kuhakikisha kwamba njia ya hewa, upumuaji, na mzunguko wa damu ni wa kutosha.
Oksijeni
oksijeni ya ziada inaweza kutumiwa iwapo kama hypoxemia yaani uwepo wa oksijeni kidogo kwenye moyo upo asasi inayoshuhurikia,Kushindwa kwa moyo ya Marekani, hata hivyo, imependekeza kuwa njia hiyo isitumiwe mara kwa mara.
matibabu ya dawa
Tiba ya awali ya moyo kushindwa kusambaza damu kwa kawaida inajumuisha baadhi ya muunganiko wa vipanuzi vya mishipa ya damu kama vile nitrogiliserine yaani dawa ya maji ya kuzibua mishipa ya damu, au dawa ya kuongeza mkojo kama vile furosemide, na upenyeshaji wa msukumo hasi usioonekana (NIPPV).o;
Hata kama dalili ya kushindwa kwa Moyohaionekani kwa sasa, dawa inaweza kutumika kwa kutibu dalili ambazo zimezoeleka. Dawa hizo zinakazi ya kudhibiti dalili hizi ikiwa ni pamoja na kutibu matatizo mengine ya afya ambayo yanaweza kuwepo sasa. Yanaweza kufanya kazi ya kuboresha ubora wa maisha,kushusha chini kuendelea kwa kushindwa kwa moyo na kupunguza hatari ya matatizo
mengine ambayo yanaweza kutokea kutokana na kushindwa kwa moyo. Ni muhimu sana kutumia madawa sahihi hasa kama yalivyoagizwa na daktari.
Idadi kubwa ya dawa mbalimbali zinahitajika kwa ajili ya watu ambao wanapatwa na hali ya kushindwa kwa moyo. aina ya kawaida ya dawa ambazo zinaagizwa kwa wagonjwa wa kushindwa kwa moyo ni pamoja na dawa za kuzuia ACE, dawa za kupanua mishipa ya damu, dawa za kusaidia mwenendo wa moyo,dawa ya kuyeyusha damu, dawa ya kuvunja mpito wa kalisi, na dawa ya kupunguza
kolesto. Kulingana na aina ya uharibifu ambao mgonjwa ameteseka nao na kusababisha msingi wa kushindwa kwa moyo, yeyote ya madaraja ya madawa hayo au mchanganyiko wake unaweza kutumika. Wagonjwa wenye matatizo ya moyo kusukuma damu watatumia
mjumuisho wa dawa tofauti na zile wanazotumia wale ambao wanakabiliwa na matatizo ya moyo kujaa. Uwezekano wa hatari ya mwingiliano wa dawa unaweza kutokea wakati dawa tofauti zinapochanganywa pamoja na kufanyakazi dhidi ya kila mmoja. dawa zote zina madhara yake. Nyingi juu-ya-zinazotumika kama dawa zinaweza kusababisha hali ya kushindwa kwa moyo kuwa mbaya zaidi.
Vitanuzi
Nitreti kama vile nitrogiliserini mara nyingi hutumika kama sehemu ya matibabu ya awali kwa ajili ya ADHF.
chaguo jingine ni nesiritidi, ingawa ni lazima tu kuchukuliwa kama matibabu ya kawaida yamekuwa hayana mafanikio au imeonekana kama ni ghali zaidi kuliko nitrogiliserini na haijawahi kuonesha kuwa na faida yoyote ya ziada.
Dawa ya kuongeza mkojo
Kushindwa kwa moyo kwa kawaida kunahusishwa na hali ya ujazo mkubwa wa kupitiliza. Basi wale walio na ushahidi wa maji kuwa mengi wanatakiwa wapatiwe matibabu ya awali ya kitanzi cha kuzuia kuongezeka mkojo.
Kutokana na kukosekana kwa dalili za kiwango cha chini cha msukumo wa damu ndani ya mishipa baruti kari mara nyingi hutumika pamoja na tiba ya kuongeza mkojo kuboresha dalili msongamano.
Hali ya ujazo inatakiwa iendelee kufanyiwa tathmini ya kutosha. Baadhi ya wagonjwa wa ugonjwa wa kushindwa kwa moyo wenye usugu wa dawa ya kuongeza mkojo wanaweza kuwa na ongezeko la mkojo zaidi. Katika matukio
ya mtanuko wa moyo pale moyo unapopokea damu kushindwa kufanya kazi yake vizuri pasipo kusinyaa kwa moyo pale unapopeleka damu kwenye mishipa kushindwa kufanya kazi yake vizuri,kimiminika kikirejeshwa katika hali njema inaweza kwa kweli kuboresha mzunguko na kupunguza kiwango cha moyo, ambacho kitawezesha vyumba
vya chini vya moyo kuwa na muda zaidi wa kujaza. Hata kama mgonjwa anajawa na maji mengi katikati ya seli za tishu, kimiminika kikilejeshwa katika hali njema inaweza kuwa njia ya kwanza ya matibabu kama mgonjwa ana msukumo mdogo wa damu. mgonjwa huweza kwa ukweli kutumia usambazaji uliopo wa ujazo kutokea ndani ya
mishipa ya damu, ingawa endapo msukumo mdogo wa damu ni kutokana na mshtuko au ugonjwa wa moyo, maji ya ziada yanaweza kufanya hali kuwa mbaya. Endapo mgonjwa anamzunguko wa ujazo wa kutosha, lakini kuna
mwendelezo wa ushahidi wa kutotosha uingizaji wakimiminika kwenye mwisho wa mishipa ya fahamu, athari ya msinyao wa misuli unaweza kuonekana. Katika hali fulani, kifaa cha kusaidia chumba cha moyo cha kushoto (LVAD) huwa ni lazima.
Mara baada ya mgonjwa kutulia, tahadhari zinaweza kugeuka nakuwa kutibu uvimbe wa mapafu na kuboresha hewa. dawa ya kuchochea mkojo inayowekwa ndani ya mishipa kwa ujumla ni njia ya awali. Hata hivyo, wagonjwa walio kwenye matumizi ya muda mrefu ya mfumo wa dawa za kuongeza mkojo wanaweza kuwa wavumilivu, na
lazima dozi kuendelea kuongezeka. Kama viwango vya juu vya dawa inayotumika kuchochea mkojo ni duni,njia ya kuingiza dawa kwa kutumia sindano ndani ya mishipa au kuendelea kuongeza dawa kupunguza majimaji ndani ya mishipa inaweza kuwa sahihi. kitanzi cha dawa ya kuongeza mkojo hizi huweza kuwa pamoja na dawa za
kuongeza mkojo zinazochochea mtiririko mkubwa wa maji kama vile metolazone ya kumeza au klorothiazide ya kuweka kwenye mishipa kwa ajili ya athari ya dawa kwenye mishipa. maandalizi ya kuweka dawa ndani ya
mishipa yanapendelewa zaidi kwa sababu ya nanma nyingi za kuchagua zinazotabirika. Wakati mgonjwa amezidiwa sana na maji, yanaweza kuendeleza uvimbe kwenye utumbo pia, ambao unaweza kuathiri ufyonzwaji wa dawa wa ndani.