Moyo kuuma baada ya kunywa pombe

Moyo kuuma baada ya kunywa pombe

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hivi walevi mkinywa pombe nyingi moyo hauwaumi? Hii husababishwa na nini?

Madaktari jibuni.
 
Utakua na shida ya shinikizo la juu la damu. High blood pressure.
Achana na hayo makitu yana trigger mapigo ya moyo.
 
Hiyo inaitwa emotional stress, hutokea mara baada ya kunywa pombe nyingi sana.

Kuhisi upweke, uoga, wasiwasi na kujiona mkosefu na hata kukosa usingizi .Tearful, mood swings,anxiety etc.

Badili life style pamoja na kuachana na marafiki
wanaosababisha ulewe .

Kunywa kiasi,mdogo mdogo baadae utaweza kuacha kabisa.
 
Back
Top Bottom