watanzania wengi wanakufa kwaajili ya kukimbilia dawa za kienyeji ambazo hazijathibitishwa. dawa za kienyeji zitumike kama food supplements tu kama preventive action. lakini watu wengi wamekuwa wanadanganya wagonjwa na maelezo ambayo hayajadhibitishwa au hayana ubora.. mara utasikia kula malimao kadhaa kujitibia na malaria n.k. jambo la msingi ni kwenda hospitali yenye wataalamu na vipimo upate. mimi huwa nawaambia watu MSIKUBALI KUNYWA DAWA AMBAZO HAZIJADHIBITISHWA NA WHO. hizi za kienyeji tuzitumie tu kama supplements zina umuhimu wake mwilini. ndio maana utaona WHO inasema umri wa Mtanzania ni chini ya miaka 50. halafu huko ulaya ni juu ya hapo. hii maanake nini? waafrica bado hatujaelimika kuhusu swala zima la afya.

To a hoja usimpinge mwenzioacha maneno mengi ya kupima damu sijui VVU.... Na dawa zako za kienyeji zisizo na ishu... Huyo jamaa anaonekana kabisa anaumwa ANGINA... Ni kiashiria namba moja cha heart attack... Na dalili zake ndio hizo.. Siamini kama hospitali zote hizo hawajaona hilo.. Na zaidi anaweza kuwa na high blood pressure...
Gud gud mkuu. Hata mm nimehis hicho kitu piaacha maneno mengi ya kupima damu sijui VVU.... Na dawa zako za kienyeji zisizo na ishu... Huyo jamaa anaonekana kabisa anaumwa ANGINA... Ni kiashiria namba moja cha heart attack... Na dalili zake ndio hizo.. Siamini kama hospitali zote hizo hawajaona hilo.. Na zaidi anaweza kuwa na high blood pressure...
Pole sana mkuu, hopefully ulipata msaada. Na ikiwa sivyo then naomba kukuuliza, je, una umri gani? Una historia ya kusumbuliwa na shinikizo la damu ("Presha")? Je, maumivu hayo ya moyo yakoje? Ni kama mtu amekamata moyo anaubana au yanachoma au yakoje? Kwa kiasi kikubwa kuna uwezekano ukawa unasumbuliwa na tatizo la moyo (Heart failure). Fika hospitali kubwa watakufanyia vipimo kuhakikisha na kukupatia matibabu accordinglyNaomba msaada, tatizo langu ni moyo kwenda mbio na kushitukashituka ovyo. Pia nina maumivu makali ya kifua upande ule wa moyo; maumivu ambayo huandamana na mkono wa kushoto, nyayo za miguu kuwaka moto na mwili kukosa nguvu kabisa.
Aidha nikitaka kufanya tendo la ndoa moyo huzidisha kasi.
Nimepata matibabu ktk hospitali mbalimbali ikiwemo hospitali ya rufaa Bugando bila mafanikio yoyote na sasa hivi nimekuja hospitali ya Muhimbili. Kwa sasa niko dhaifu siwezi kufanya kazi yoyote.
Wadau naombeni msaada kwani hata Muhimbili nina mwezi mmoja sijapata tiba yoyote kulingana na mizunguko iliyopo ktk hospitali hii. NISAIDIENI WENYE MAPENZI MEMA.
KWA MAWASILIANO 0787468179, 0763233106
nilikua na tatizo kama lako miaka 5 nyuma..nilitumia tangawizi na kitunguu swaum nika mix na asali nikawa natumia vijiko viwili mara 2 kwa siku. kwa mwezi mmoja likapotea kabisaNaomba msaada, tatizo langu ni moyo kwenda mbio na kushitukashituka ovyo. Pia nina maumivu makali ya kifua upande ule wa moyo; maumivu ambayo huandamana na mkono wa kushoto, nyayo za miguu kuwaka moto na mwili kukosa nguvu kabisa.
Aidha nikitaka kufanya tendo la ndoa moyo huzidisha kasi.
Nimepata matibabu ktk hospitali mbalimbali ikiwemo hospitali ya rufaa Bugando bila mafanikio yoyote na sasa hivi nimekuja hospitali ya Muhimbili. Kwa sasa niko dhaifu siwezi kufanya kazi yoyote.
Wadau naombeni msaada kwani hata Muhimbili nina mwezi mmoja sijapata tiba yoyote kulingana na mizunguko iliyopo ktk hospitali hii. NISAIDIENI WENYE MAPENZI MEMA.
KWA MAWASILIANO 0787468179, 0763233106
Hakuna madhara yoyote kungelikuwa na madhara usingeweza hata kuja kuandika hapa ungelikuwa upo hospitali.Jamani mimi moyo wangu uko upande wa kulia badala ya kushoto vip inaweza kua na madhara?