Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
good the music made u laugh.. today is Sunday get relaxed!Hahhha
Mr Paul amechuja mara ya mwisho ku-release lini? he is officially dethroned! Sijui unaongelea watu gani mtu anayeweza kushindanishwa na Ben Pol ni JUX kwa sasa! Hao wengine wote wala hawajulikani!Eti Ea king of rnb hahahaaa,Mr Paul unamueka wapi?Rama dee je?
Ben bado sana kuitwa king,mtu kama rama dee utamueka wapi?Mr Paul amechuja mara ya mwisho ku-release lini? he is officially dethroned!
sasa siuweke muziki wake hapa watu wa-judge hao ubishi wa vijiweni unakusumbua?Ben bado sana kuitwa king,mtu kama rama dee utamueka wapi?
Hahahaa natumia simu nashndwa kueka ila sidhan kama kuna hajui kazi za mr paul na rama deesasa siuweke muziki wake hapa watu wa-judge hao ubishi wa vijiweni unakusumbua?
Haha Wewe jamaa kila nyimbo kwako ni mbovu kuna uzi wa wimbo wa diamond na Neyo nayo umesema mbayaNyimbo mbovu huyu dogo ameshachuja
naangalia kazi zao huyo Mr Paul hata youtube hayupo huyo rama dee ana clip moja tu huwezi kufananisha na Ben Paul ambaye ame-release hit after hit! Acha ndoto! halafu Mr Pauln genre ni Zouk kama Linex pia si rnb perseHahahaa natumia simu nashndwa kueka ila sidhan kama kuna hajui kazi za mr paul na rama dee
good the music made u laugh.. today is Sunday get relaxed![/QUOTE
Nashindwa kufanya attachment but check hizi za King Rama Deenaangalia kazi zao huyo Mr Paul hata youtube hayupo huyo rama dee ana clip moja tu huwezi kufananisha na Ben Paul ambaye ame-release hit after hit! Acha ndoto! halafu Mr Pauln genre ni Zouk kama Linex pia si rnb perse
acha utani kazi ya Rama dee iko kiwango cha chini hamfikii Ben pol hata robo! Nimezipitia na nisikudanganye level yako ipo chini japo anajitahidiNashindwa kufanya attachment but check hizi za King Rama Dee
*Tuhamie mwezini
*Sarah
*Kikao cha family
*Sio waoaji
*Usihofie wachaga
*Kuwa na subira (ft mapacha)
*Kipenda roho