Moyo mashine by East African King of R&B

Eti Ea king of rnb hahahaaa,Mr Paul unamueka wapi?Rama dee je?
 
Eti Ea king of rnb hahahaaa,Mr Paul unamueka wapi?Rama dee je?
Mr Paul amechuja mara ya mwisho ku-release lini? he is officially dethroned! Sijui unaongelea watu gani mtu anayeweza kushindanishwa na Ben Pol ni JUX kwa sasa! Hao wengine wote wala hawajulikani!
 
Hahahaa natumia simu nashndwa kueka ila sidhan kama kuna hajui kazi za mr paul na rama dee
naangalia kazi zao huyo Mr Paul hata youtube hayupo huyo rama dee ana clip moja tu huwezi kufananisha na Ben Paul ambaye ame-release hit after hit! Acha ndoto! halafu Mr Pauln genre ni Zouk kama Linex pia si rnb perse
 
Nashindwa kufanya attachment but check hizi za King Rama Dee
*Tuhamie mwezini
*Sarah
*Kikao cha family
*Sio waoaji
*Usihofie wachaga
*Kuwa na subira (ft mapacha)
*Kipenda roho
 
Nashindwa kufanya attachment but check hizi za King Rama Dee
*Tuhamie mwezini
*Sarah
*Kikao cha family
*Sio waoaji
*Usihofie wachaga
*Kuwa na subira (ft mapacha)
*Kipenda roho
acha utani kazi ya Rama dee iko kiwango cha chini hamfikii Ben pol hata robo! Nimezipitia na nisikudanganye level yako ipo chini japo anajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…