Moyo mpweke: Nahitaji mwanaume wa kufanya naye maisha

Moyo mpweke: Nahitaji mwanaume wa kufanya naye maisha

Jamani nahitaji mwanaume wa kufanya naye maisha. Awe na sifa nzuri zikiwemo

1. Asiwe member wa JF
2. Awe mkristo safi
3. Mrefu mweusi asiye na kitambi.

Please mwanaume mwenye sifa hizo ambaye sio member wa JF aje PM tuyajenge ..!
Utakuwa unampa bao ngapi kwa siku?
 
Sasa si ungeenda kubandika tangazo lako huko kwenye nguzo za umeme na sio humu JF

KUMBAFU
 
Jamani nahitaji mwanaume wa kufanya naye maisha. Awe na sifa nzuri zikiwemo

1. Asiwe member wa JF
2. Awe mkristo safi
3. Mrefu mweusi asiye na kitambi.

Please mwanaume mwenye sifa hizo ambaye sio member wa JF aje PM tuyajenge ..!

Kwisha kazi yako, shortly utatafuta hata boda, you have no more choice, muda wa majeruhi huu, saa 10:59:59:59.. hayo masharti hayatafanya kazi, subiri uone, nyie ndio mnakuwa na masharti mengiii, ikifika saa 11 on your life cycle, unaanza toa masharti wakati soko lako limeshuka, soko gumu sana nyakati hizi..!! Hata post yako ina masharti sana, kumbuka kuna visichana vibichi na havina masharti na wakali balaa, ww mshangazi bado una mambo ya 70’s watch out, clock is ticking..!!
 
Kabla ya kuweka cv za mume unaemtaka anza kuweka cv yako kwani vigezo vyako mimi nakidhi ila nataka kuona cv yako piaNB:Msihofu jf member hata kama huyu ni jidume atashughirikiwa kama alivuokuja.
 
Jamani nahitaji mwanaume wa kufanya naye maisha. Awe na sifa nzuri zikiwemo

1. Asiwe member wa JF
2. Awe mkristo safi
3. Mrefu mweusi asiye na kitambi.

Please mwanaume mwenye sifa hizo ambaye sio member wa JF aje PM tuyajenge ..!

Kweli Mshangazi umechanganyikiwa 😀 😀 😀 😀 ,asiwe Member wa JF halafu aje PM?
 
As
Jamani nahitaji mwanaume wa kufanya naye maisha. Awe na sifa nzuri zikiwemo

1. Asiwe member wa JF
2. Awe mkristo safi
3. Mrefu mweusi asiye na kitambi.

Please mwanaume mwenye sifa hizo ambaye sio member wa JF aje PM tuyajenge ..!
Asiwe member wa jamiiforums halafu akufate pm ngoja watakuja
 
Back
Top Bottom