Hao watoto 2 Baba yao yuko wapi?......
Pole Dine na upweke! Mie neno langu ni moja tu: ukifika wakati unataka wa3 uniPM fasta!
Hao watoto 2 Baba yao yuko wapi?......
Hao watoto 2 Baba yao yuko wapi?......
sasa dadangu umeshazaa mara mbili na bado unaweka masharti magumu hivyo?? hauoni kwamba you are being unfair??Mimi ni mama wa watoto wawili nina umri wa miaka 31 ni mwajiriwa serikalini napenda kuwa wazi ktk jamvi kwani nimekuwa mpweke kwa muda mrefu hivyo basi nahtaji mwanaume mwenye sifa hizi -Awe mkristo wa umri kati ya miaka 36-46 awe mwajiriwa aliyejiajiri asiwe mlevi aliye tayari anipm nimpatie contact zangu ANGALIZO Wale wanaopenda kutoa kashfa kwa yasiyowahusu plse wajiheshimu kwani sio lazima kuchangia jambo ambalo halijakugusu we soma and then unapotezea kwa aliyetayari anipm
Hujitambui wewe, au utoto unakusumbuwa!!....Not necessary iwe baba "yao",
Can be even baba "zao".
Nadhani wakati umefika tuachane na matani pia dhihaka si njema. Dada yetu kajitowa moyo wake wote kuelezea kile atamanicho rohoni mwake na ni haki yake, hajakueleza wewe ila amewaeleza wale wenye sifa zitakazo mfaa yeye na ametoa angalizo usifanye hivyo kama huna sifa hizo. Sasa ya nini kuleta matani kwa pilipili usio ila na iko shambani inakuwashia nini? Maulidi sio yako kanzu waivalia ya nini? Ifike mahali tujirekebishe jamani! Dada hongera sana kwa kujiweka wazi namuomba Mungu wangu akujalie hitaji la moyo wako. Ili uwe makini sana usije ukapata hawa masharobaro wa kwenye net wakakufanya ukajinyonga bure. Be blessed
sasa dadangu umeshazaa mara mbili na bado unaweka masharti magumu hivyo?? hauoni kwamba you are being unfair??
Na kwa umri huo huoni kwamba choices zinakua limited?? na wazuri wengi wanakunywa pombe?
Angalizo: sijasema kuzaa ni kubaya....