Moyo mpweke unahtaji mwenza.

Moyo mpweke unahtaji mwenza.

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
354
Jamani kuna m2 ambae ni mtalaka na watoto 3 anatafuta mume. Vigezo:- mwanaume awe na miaka 35 hadi 40, mkristo, awe mjane au mtalaka, awe na uwezo wa ku2nza familia, msomi angalau digrii moja. Ukiwa interested ni PM niwaconect. Vigezo na mashart kuzingatiwa
 
Awe mkristo halafu mtalaka, duh itakuwa ngumu kumpata.maana kwa mkristo wa kweli talaka ni kitu adimu.
 
Thanx pcm kwa angalizo ila ameshapatikana m2 ni ma2maini yangu watafika mwisho.
 
Jamani kuna m2 ambae ni mtalaka na watoto 3 anatafuta mume. Vigezo:- mwanaume awe na miaka 35 hadi 40, mkristo, awe mjane au mtalaka, awe na uwezo wa ku2nza familia, msomi angalau digrii moja. Ukiwa interested ni PM niwaconect. Vigezo na mashart kuzingatiwa
<br />
<br />
itabidi tuanzishe kampuni ya ukuadi, wewe utakuwa managing director na mimi ntakuwa mhakiki ubora kwa wateja wetu wa kike
 
hicho kigezo cha kutunza familia sitakiweza watto wa mwenzangu wa3 aaaaah huyo anatafuta wa kumfilisi tu.....
 
Back
Top Bottom