Moyo sukuma damu, Lameck Ditto na Ben Pol watembelea taasisi ya moyo ya Kikwete

Majs

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
232
Reaction score
516

Baada ya mwanamziki Ben Pol kuchangia na kuhamasisha uchangishaji wa fedha kwa ajiri ya upasuaji wa Moyo kwa watoto 100 kupitia kampeni ya [HASHTAG]#rudishatabasamu100moyo[/HASHTAG] Uongozi wa Taasisi ya Moyo ya Dr. Jakaya Kikwete uliwaalika leo yeye na Lameck Ditto kuwapa elimu zaidi juu ya namna wanavyofanya kazi.

Pia wamepata nafasi ya kuwaona baadhi ya watoto, na wamepewa Watoto wawili ambao watawafuatilia kwa ukaribu zaidi ili kujua maendeleo yao zaidi. Wamewashukuru Uongozi wa Taasisi pamoja na timu nzima ya Wafanyakazi kwa ukarimu na elimu waliyowapatia.
 
Mwaka huuu kick wataztafta sana
 
Vip hakuna picha zinazoonesha Benpol akionesha tena makalio yake..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…