moyo u mpweke ..................

Hiv unaeza kupata mume/mke mwema humu mitandaoni?binafsi inakuwa ngumu kuamini bt kama ukifanikiwa u2pe feedbak labda na wengine watatumia njia kama yako kupata wenzi

naona wewe u mgeni sana humu jf. wapo waliooana kwa kukutana humu humu jf. na wengi huwa wanaleta mrejesho hivyo usfikiri humu ni kama kwenye mitandao mingine usjali itakupa fback
 
dah very inspired..wish i could have that chance.
 
Reactions: b2k
Hiv unaeza kupata mume/mke mwema humu mitandaoni?binafsi inakuwa ngumu kuamini bt kama ukifanikiwa u2pe feedbak labda na wengine watatumia njia kama yako kupata wenzi

inawezekana kabisa mke/mume anapatikana popote pale
 
Reactions: b2k
"ambaye atakubali kunifundisha juu ya kufanya tendo la ndoa. Ila pia ajue hatutafanya tendo la ndoa hadi tufunge ndoa, na binafsi sijawah kufanya kabisa"

Mmh..kwa kweli hiki kigezo kilinishindaga,eti hadi ndoa??

Sasa let say nimekaa hadin ndoa,then nikakukuta hauko kama unavyosema,itatokea nini??na ndoa za kikristo ni moja tu...haivunjiki kirahisi rahisi...

Mimi mama yeyoo mpaka nilimdunga ujauzito.....maana yake hamchelewi nyie,unasema mpaka ndoa kumbe ulishatoa mimba weee hadi umeng'oa kizazi....

Hadi ndoa ni too risky...labda ningekujua tangu utoto wako,hii ya kimjini mjini..ni ngumu kumesa...

NI MTAZAMO TU WAKUU....
 
Reactions: b2k
charminglady nimetulia mpenzi ila uyu binti wa kike ameniacha hoi eti hataki mwanaume mjeda anataka raia
 
Last edited by a moderator:
Reactions: b2k
nakushukuru sana hata kwa kupost haya. Binafsi wewe sitakuweza kwani umri umekwenda sana na hao watoto uliozaa wanatosha kabisa. mimi sina nyumba wala gari lakin siyo vigezo vyangu kwa sasa.
Sawa bibie....all the best
 
Reactions: b2k
Nimeupenda mwandiko wako sana. Ongea na gfsonwin ana walimu wenzake mabachela kibao.
 
Last edited by a moderator:

as a christian girl that is my stance, and infact it makes no sense kuongopa hapa kwani natafuta mpenzi mwandani wafikiri nikiongopa kwa dogo kama hili kwa kubwa je itakuwaje? na je nitapata faida gani kuongopa ili nionekane mwema ilihali siko hivyo katika umri huu. naamin kama nataka yaliyo mema basi niwe muwaz na mkweli na nisifiche jambo.

tatizo letu watanzania tumezoea kuongopewa sana jambo ambalo wenzetu walioko mbele hawalfanyi kabisa.
 
We saitama_kein mbona hujataja uraia wako?au we sio mbongo?maana hata hilo jina lako tu?halafu kwani umeambiwa anahitaji mtu mwenye watoto wewe?uwe unaelewa anamtaka mwenye mapenzi ya dhati,watoto 5 mama tofauti ni kipimo tosha kuwa kwako mapenzi ya dhati 0.so kiufupi ni kuwa hufai naomba nimjibie dada yangu b2k kwa niaba.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: b2k
ubarikiwe sana kwa upendo wako. ila mtu kama huyu asikuwazishe hata kidogo.
 
Blue G, mie mtanzania...mwenyeji wa Kasulu.....asante kwa mtazamo wako hasi.. ila tahadhali usimkoseshe b2k bahati yake kwa makusudi ili baadae ukaanze ni PM....
 
Reactions: b2k
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…