hivi kweli unania ya kuwatalaiki wakezo kisa dawa yangu nlokuwekea ya kukutoa tego la Young_master ama nini? manake naona sikaukia amdomoni na mikononi mwako. haya mlipe Kaizer mahari yake unioe wewe basi uridhike.Nimeupenda mwandiko wako sana. Ongea na gfsonwin ana walimu wenzake mabachela kibao.
hiyo namba yaako imesoma km sana kiasi kwamba inawasha ya njano. teh teh teh
Utanitaka mie? Sifa zangu
1. Nina miaka 62 (retired but not tired)
2. Sijawahi kuoa ila nina watoto 5 ( mama tofauti)
3. Ninafanya kazi katika chuo kikuu kimoja dar (kwa contract) kwa mhadhiri msaidizi ( assisstant lecturer)
4. Nina nyumba moja (kigamboni) na nina usafiri wangu binafsi
Nipo tayari kufuata masharti km utasema yes.........
MadameX..tuelimishane Vi....ndo viagra? Mwenzio niko bomba...shauri yake b2k anapoteza bahati yakeUmeshaanza kutumia Vi....
as a christian girl that is my stance, and infact it makes no sense kuongopa hapa kwani natafuta mpenzi mwandani wafikiri nikiongopa kwa dogo kama hili kwa kubwa je itakuwaje? na je nitapata faida gani kuongopa ili nionekane mwema ilihali siko hivyo katika umri huu. naamin kama nataka yaliyo mema basi niwe muwaz na mkweli na nisifiche jambo.
tatizo letu watanzania tumezoea kuongopewa sana jambo ambalo wenzetu walioko mbele hawalfanyi kabisa.
maskini saitama_kein pole inaonyesha we bahati maishani mwako ni kitendawil kama mtu kupata mtu mwenye sifa kama zako ni bahati!!!!!!!!!hapo shughuli ipo.Blue G, mie mtanzania...mwenyeji wa Kasulu.....asante kwa mtazamo wako hasi.. ila tahadhali usimkoseshe b2k bahati yake kwa makusudi ili baadae ukaanze ni PM....
Hahahaha muunganishe kwa yule swahiba yetu chinjachinja akaujue utamu wa ngoma....!
as a christian girl that is my stance, and infact it makes no sense kuongopa hapa kwani natafuta mpenzi mwandani wafikiri nikiongopa kwa dogo kama hili kwa kubwa je itakuwaje? na je nitapata faida gani kuongopa ili nionekane mwema ilihali siko hivyo katika umri huu. naamin kama nataka yaliyo mema basi niwe muwaz na mkweli na nisifiche jambo.
tatizo letu watanzania tumezoea kuongopewa sana jambo ambalo wenzetu walioko mbele hawalfanyi kabisa.
MadameX..tuelimishane Vi....ndo viagra? Mwenzio niko bomba...shauri yake b2k anapoteza bahati yake
all the best b2k na hongera kwa kujitunza
hivi we mkiva nani kakuambia una sifa?unavyopenda kujipa maujiko!!!halafu sasa nimeshakujua siku nikikuona kanisani tu nitajua kuna mbayuwayu unamfuatilia maanake naona dini na we vitu viwili tofauti mpaka kuwe na sababu maalum.sifa ninazo tena mtani wako ilatu dini imenifanya nikose mke kila lakheri mpendwa
Maumivu ya kichwa huanza poole pooole.
sifa ninazo tena mtani wako ilatu dini imenifanya nikose mke kila lakheri mpendwa
Mungu yu pamoja nami sitafuti mpenzi ili anitie maumaivu ya kichwa bali ili tupeane Liwazo. uzuri Mungu huwa akikupa kitu basi ni chema. changamoto ni sehem ya maisha tu.