Moyo ukikataa unaweza sema kwa mwenzio?

tatizo watu vinganganizi bwana

kwa hiyo ukinganganiwa tu hata kamahupendi unaenda?, duh ngoja nipange mashairi yangu najua huwezi kuchomoka
 
habari ndo hiyo
inategemea na unabebeka? mimi kweli kuna mkaka anataka kunioa ila kweli simpend hata ile ya 0.00000000000000000000000000000000000001.but yuko vizuri kwa kila kitu cause mimi ni mstaarabu nimemkataa ingawa i wish kuwa na rafiki wa kiume.yaye ana shida na mimi nina shida ila he is not my choice ila hapo mtu mwingine si angekubali tu? unaona eeeeh ndo hapo eti miaka mitano unakuja kumwambia mtu sikufeel ni fair jamani? ukweli toka mwanzo ni mzuri
 
unajua kuna ile kutosikiliza feeling zako na ukaona ni poa na ukahisi kuwa unampenda, lakini mda unapoenda unakuja gundua ulipotea,
miaka mitano ni michache sana, kuna watu wanakata mpaka kumi na wanabaki kwenye ndoa kwa sababu ya watoto na heshima mbele ya jamii
 
kaazi kweli kweli ila kama mtu ananipenda ile ya ukweli nikaona ivo kweli nitabebana nae ila hawa wa kivoda fasta siwezi kulazimisha
 
kaazi kweli kweli ila kama mtu ananipenda ile ya ukweli nikaona ivo kweli nitabebana nae ila hawa wa kivoda fasta siwezi kulazimisha

hapo ndio mwanzo wa Matatizo, wengi wanasemaga hivyohivyo nitamzooea na tutaendana, sasa mwisho wa siku ukikutana na wa ukweli ndio unakuwa wa kwanza kuvunja uhusiano,
unachagua mara moja tu
 
hapo ndio mwanzo wa Matatizo, wengi wanasemaga hivyohivyo nitamzooea na tutaendana, sasa mwisho wa siku ukikutana na wa ukweli ndio unakuwa wa kwanza kuvunja uhusiano,
unachagua mara moja tu
so utakaa tu sista?
 
so utakaa tu sista?

unachagua mwanzo na ndio unamaliza, Fata moyo wako mapema, weka shida na matatizo yako nyuma, maana hakuna shida mbaya kama kusononekea mapenzi, unaweza kupewa kila kitu lakini furaha ya moyo ni wewe mwenyewe unajipa
 
eti eeeeh ngoja nichukue hatua
 
sijuhi mahusiano yako, lakini kwa wewe ungekuwa tayari kusema hata kama mmeishi kwa miaka mitano na zaidi?

ki ukweli kama sijisikii......siwezi kwenda muda mrefu namna hiyo......ndani ya miezi 3......nitakuwa nimeshakueleza.......miaka mitano hapana....ni mingi mno
 
wahindi wana msemo unaosema

mioyo huwa ina kichaaa
 
ki ukweli kama sijisikii......siwezi kwenda muda mrefu namna hiyo......ndani ya miezi 3......nitakuwa nimeshakueleza.......miaka mitano hapana....ni mingi mno

miaka inaenda ndugu yangu watu huwa wanasema keshokesho kuja kustuka ni miaka, Dada Preta unaweza kaa hiyo miaka kama mtu hakusubuhi na hana tatizo na wewe unaweza kukaa kabisa
 
Watu wa aina hii yule aliyesema moyo wake umeshindwa kufunguka, wanafunguka wakati mwenzake kaamua ku move on, akishamwona tu na mtu mwingine,hapohapo feelings zina jirecharge, na anawezaje kumwambia mwenzake maneno ya kuumiza kiasi hicho,si angemwambia tu amepata mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…