Moyo unanienda mbio, tatizo ni nini?

Moyo unanienda mbio, tatizo ni nini?

ndusyepo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
165
Reaction score
41
Jamani mie ninatatizo la kukosa pumzi pindi nitembeapo kwa muda mrefu na hata nikikaa tu najikuta napumua kwa shida na mapigo ya moyo uenda mbio.

Tatizo ni nini na tiba ni ipi?
 
Back
Top Bottom