Moyo wa mtu...ni kiza

Samahani 'kaka mkubwa'....ni....nini....hiki?
 
Kuna bwana mmoja miaka mingi huko nyuma, alikuwa m'south basi alijichora tatoo ya kishetani kwenye mkono wake wa kulia. kwa bahati mbaya alipata ajali na gari iliungua yote ilikuwa semi ya mafuta, lkn cha ajabu yule bwana pamoja nakuungua mwili mzima lakin sehemu ya ile Tatoo pekee haikuungua.
 

Mhhhh, hizo ni stori tu, hakuna ukweli hapo
 
Dah.. chief hiyo material waliyotumia kuweka hiyo tatoo inaweza kuwa haiungui (fire proof) .. si ajabu hata wenyewe hawajui.. Fursa hiyo kiongozi [emoji481] [emoji481] [emoji56]
 
Sitawahi kujuta au kusema natamani nisingewahi kukutana nawe, kwa sababu hapo awali ulikuwa kile nilichohitaji.

Bob Marley

MAISHA CHROME

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…