Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

Na mm pia ni dereva wa Boda boda, ina maana hujaniona au?
 
Mkatie bima ya afya maana wakipataga ajali uwa wanateseka sana kwa kuchangishana matibabu
 
mnunulie condom
 
Umejoin JF 2007 ila bado hubadiliki kuonyesha kupevuka kwako humu
 
Thamani ya zawadi haijalishi ukubwa wake bali ni jinsi alivyojali tu lakini wengi wetu hatujui jiandae Kwa yote
 
Umejoin JF 2007 ila bado hubadiliki kuonyesha kupevuka kwako humu
Kwa hiyo siruhusiwi kupenda au? moyo dada moyooooo, acha kabisa. Kama wewe ulivyo join 2011 ndio basi hupendi ni wewe, mie damu iko motoo, mpo mdada
 
Kwa hiyo siruhusiwi kupenda au? moyo baba moyooooo, acha kabisa.
hebu shogayangu nieleze kwanza kuhusu huo mzuzu niko much interested na hicho kipengele.
halafu tabia ya kula vitu vitamu mwenyewe bila kunishtua umeanza lini jamani?
 
hebu shogayangu nieleze kwanza kuhusu huo mzuzu niko much interested na hicho kipengele.
halafu tabia ya kula vitu vitamu mwenyewe bila kunishtua umeanza lini jamani?
πŸ˜€πŸ˜€ Mzuzu ni nywele/ndevu fulani ambazo ziko kwenye kidevu, anazichonga zinachongoka, sasa zile akigusa nazo tu hata shingoni, walahi! lazima wazungu waamke.
 
πŸ˜€πŸ˜€ Mzuzu ni nywele/ndevu fulani ambazo ziko kwenye kidevu, anazichonga zinachongoka, sasa zile akigusa nazo tu hata shingoni, walahi! lazima wazungu waamke.
aah mi nikajua mzuzu wa chini bna.sasa mzuzu huo una faida gani na wewe acha ujinga ushalogwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…