Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

Baada ya muda unakuja kugundua ana mke na watoto na hapo utaanza kuwachukia wanaume. Huwa wanasema wanaume mama yao mmoja wala si kweli 100%
 
Baada ya muda unakuja kugundua ana mke na watoto na hapo utaanza kuwachukia wanaume. Huwa wanasema wanaume mama yao mmoja wala si kweli 100%
Yule kwa umri wake lazima atakuwa ana mke. Ila nampenda tu hivyo hivyo. 😕😎😱😳😳😵🙄
 
Yule kwa umri wake lazima atakuwa ana mke. Ila nampenda tu hivyo hivyo. 😕😎😱😳😳😵🙄
Hongera.
Sisi wanaume tulioa baadhi yetu tunakuwa na wanawake tuliotoka nao mbali sana na tunawapenda. Kwahiyo unaweza kukutana na mwanamke njiani ukampenda lkn siyo wa kuweka au kumfanya nyumba ndogo. Kwahiyo unapiga ukitosheka unakula kona. Si mke yupo shida ya nn.
"Uwe tayari kwa lolote. kumtegeshea mimba siyo kigezo cha mwanaume kukuoa au kukufanya nyumba ndogo yaan mke wa pili huenda ikatokea lkn ni 30%''
 
Nina uwezo wa kujisimamia mwenyewe! Mie kwake nataka penzi tuuuuuu!!!!! Kama hela hata mie si haba namshukuru Mungu ninaweza bila kuwezeshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…