Mwenyeezi Mungu atamuafu na Mwenyeezi Mungu atakupa moyo wa imani na kuzidi kumuangalia, Waislaam tunaamini, Pepo zetu zipo kwenye nyayo za mama zetu, kwa maana tuwanyenyekee kwa hali na mali na maneno mazuri.
Chukulia kipindi hiki ni muafaka kwa kumuonesha mama mapenzi yako yote na umuangalie kwa kila kinachobidi bila kuulizwa, kukumbushwa wala kusita. Poleni sana kwa kuuguliwa.