Dear mother,sweet mother please fight for me
Dear friends mama yangu anaumwa saaaaaana please muombeeni.
Tubarikiwe sote mamito,kweli nimeamini jf ni marafiki wa ukweli leo nimeamka na courage ya ajabu
nawashukuruni kwa upendo wenu na kwa ukarimu wenu wa kunitia moyo
mungu awabarikini saaana