Naomba mnijuze kama mnafahamu
january m2 wangu, vp, unaenda 2fahamiane coz na mim nimechaguliwa huko
si tupia jina lako tu kwenye ile link ya selected applicants, watakuonyesha.Unawezaje kujua kama umechaguliwa kwenda msumbiji@msaada tu
si tupia jina lako tu kwenye ile link ya selected applicants, watakuonyesha.