Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 59
hii safari mbona siielewi mkuu,yaani unatoka Msumbiji halafu Madagascar then Comorro...mwisho Dar,why not Msumbiji to Dar moja kwa moja?
Hello mkuu,naomba tuwasiliane maana nasikia Comoro kuna fursa za Biashara mkuuNapanda meli jdge ndo mana unaona mzunguko umekua mkubwa na commoro kuna ant yngu anakaa pale