Mozambique vs Taifa Stars

Mozambique vs Taifa Stars

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Wakuu hawa jamaa tunacheza nao international friendly ya kufungua uwanja wao kule Maputo vipi matokeo? Nakumbuka jamaa walitufunga 1-0 kwa bao la Tico Tico ikiwa mechi ya mwanzo kabisa kwenye uwanja mpya wa Taifa
 
duh, kweli nchi yetu ni bonge la nchiiiii)🙂🙂: yaani karne hii timu ya taifa inacheza na hakuna kanal inayoonyehs? au kanali gani mazee inaonyesha?
 
Vipi second half haijaanza kwenye dimba la jipya linalochukua watazamaji waliokaa 42,000 lililojengwa kwa msaada wa watu wa China?
 
Mpira umeisha hapa zimpeto sasa ni adha ya foleni kurudi makwetu.Moçambique 2-0 Tanzania.wajukuu zetu wanatuabisha kwa mara nyingine tena
 
Kichwa cha mwendawazimu. Kila mtu anajifunza kunyoa.
 
duh, kweli nchi yetu ni bonge la nchiiiii)🙂🙂: yaani karne hii timu ya taifa inacheza na hakuna kanal inayoonyehs? au kanali gani mazee inaonyesha?
Tido Mhando Tutakukumbuka daima!!
 
halafu tunakutana nao hao msumbiji tena ktk kugombea kucheza kombe la afrika 2013 sauzi afrika ktk raund ya pili halafu mshindi anakutana na timu 1wapo kati ya 16 zitazoshiriki africa cup of naqtions 2012 huko gabon na guinea ya ikweta,ndio sheria mpya washindi wa raundi ya pili wote watakutna na washiriki wa afcon 2012 mshindi anaenda sauzi afrika kujiunga na mwenyeji sauzi afrika ktk kushiriki afcon 2013
 
Back
Top Bottom