Napenda sana kwenda Mozambique kwa ajili ya biashara. kama vile usafirishaji ,uuzaji wa magari nk. Kwa yeyote yule ambaye anafahamu mazingira ya
biashara huko naomba unipe hali halisi naomba uniPM ,.Kwa sasa hivi naishi UK ila napenda sana kusafiri .Hata kama unataka ubia wewe sema ,Only seriously people should contact me