45[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna umri ukishafika mwili hua unakuja tuu hata ukilala jim haisaidii sana. Na kuna kazi ambazo zinaendana na umri, umri ukishakutupa mkono inabidi ubadilishe aina ya kazi uwaachie vijana. Ni kama wacheza mpira umri ukishaenda ndio basi tena.. Sasa Iyobo nadhani anaitafuta 45 so mwili lazima utakuja tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utajuaje kama anakaribia kustafu ? hivi unajua kukatika miaka 15 bila kupumzika ni kazi aisee
Terms and conditionSasa waliwavua mashati ya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheers ninjaSure, kwa mtu kama dancer kuwa na "kifreezer" kama hicho wala si sawa.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Dancers=EnglishDancers kuwaita wanenguaji haisound poa kabisa ebu wapeni heshima yao tujifunze jamani kuheshimu kazi za watu