G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 855 Dec 18, 2007 #1 huwa situmii IE , lakini naona Mozilla imedelete bookmarks zangu zote kuna mtu anajua namna ya kuretrieve hizo bookmarkS?
huwa situmii IE , lakini naona Mozilla imedelete bookmarks zangu zote kuna mtu anajua namna ya kuretrieve hizo bookmarkS?
Pundit JF-Expert Member Joined Feb 4, 2007 Posts 3,733 Reaction score 141 Dec 18, 2007 #2 Try http://kb.mozillazine.org/Lost_bookmarks
G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 855 Dec 18, 2007 Thread starter #3 ebwana tayari kumbe nimezipata ziko kwenye C drive sasa kazi iliyobaki ni kuzimport toka C kwenda kwenye bookmarks route path inagoma hata kama nikishaselect
ebwana tayari kumbe nimezipata ziko kwenye C drive sasa kazi iliyobaki ni kuzimport toka C kwenda kwenye bookmarks route path inagoma hata kama nikishaselect
D DAR si LAMU JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 2,928 Reaction score 551 Aug 17, 2008 #4 BRAZAMENI said: ebwana tayari kumbe nimezipata ziko kwenye C drive sasa kazi iliyobaki ni kuzimport toka C kwenda kwenye bookmarks route path inagoma hata kama nikishaselect Click to expand... ..uki-install upya firefox itaziweka hizo bookmarks yenyewe.
BRAZAMENI said: ebwana tayari kumbe nimezipata ziko kwenye C drive sasa kazi iliyobaki ni kuzimport toka C kwenda kwenye bookmarks route path inagoma hata kama nikishaselect Click to expand... ..uki-install upya firefox itaziweka hizo bookmarks yenyewe.