Elections 2010 mp albino ni yupi

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
mbunge albino ni wa jimbo gani,hongeraa sana katuwakilishe
 
mbunge albino ni wa jimbo gani,hongeraa sana katuwakilishe

Lindi.

Mohamed Abdulazizi alishawahi kusema kwenye moja ya kampeni zake asichaguliwe(huyo albino) kwa kuwa albinos wana matatizo ya kusahau.

Akasema achaguliwe yeye(Abdulaziz) ili akamilishe ujenzi wa hoteli yake.
 
Ni mbunge wa lindimjini mh. Salum barwani wa chama cha wananchi Cuf.
 
hongera sana mh; Barwani u can in the name of God watanzania hatuangalii rangi tunataka mtu mwenye mapenzi mema na nchi yetu.:israel::israel::israel::israel::israel::israel:
 
Hii ni nzuri sana kwa watu wa Lindi, mmeonyesha mna utu wa kutosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…