MP Benson Mwang'oda:Tuambie madudu ya KAGODA

MP Benson Mwang'oda:Tuambie madudu ya KAGODA

mmakonde

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2009
Posts
965
Reaction score
68
According to available evidence from both BRELA and the Bank of Tanzania, Kagoda was officially registered on September 29, 2005, and given Certificate of Incorporation Number 54040. The registration was witnessed by nominated MP Benson Mwangonda, who at the time wrote on the documents that he was an accountant with local firm Khatco Management Ltd.

Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal
 
cant be true!! ngoja nim-text JK na DPP ambao wanasema hawamjui Kagoda (mwizi wetu mkubwa katika historia ya taifa hili). Nitawaomba wamwite Mwang'onda wamhoji.
 
Interesting! Lakini kwa kumbukumbu zangu, aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa wakati ule alikuwa anaitwa Tom Mwang'onda. Sasa huyu Tom ndiye huyo huyo Benson Mwang'onda? Naomba ufafanuzi please!
 
Mwang'onda gani huyu mnamsema coz yupo MMoja Kafungua Mashamba ya Kahawa Pale Mbozi, ni kufuru ila kwa sasa nasikia hayo mashamba yanakufa, Na hayo mashamba yalikuwa ya NAFCO zamani, Fafanua kiasi ndugu kwani pia huyu hela zake sizielewi hata Kidogo!
 
Huyu ni mtoto wa mkurugenzi wa usalama wa taifa wakati wa tukio...MZEE CORNEL APSON MWANG'ONDA
 
Kama ni mtoto wa huyu mzee anaitwa Thomas (Tom) Mwang'onda na siyo Benson!
 
1453.jpg
 
Hii thread yako ni mfu haina tija yeyote, kila mtu anajuwa KAGODA ni mradi wa Rostam Azizi, sasa kwa nini tujadili vidagaa wakati papa mwenyewe anajulikana? this is wasting of time.
 
Interesting! Lakini kwa kumbukumbu zangu, aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa wakati ule alikuwa anaitwa Tom Mwang'onda. Sasa huyu Tom ndiye huyo huyo Benson Mwang'onda? Naomba ufafanuzi please!

Mpesya ‘amliza' Mwang'oda

Naye Innocent Ng'oko kutoka Mbeya anaripoti kuwa wabunge wawili mkoani hapa, wapo kwenye hali mbaya na wanaweza kudondoshwa. Wabunge hao ni Esterina Kilasi (Mbarali) na Dk. Guido Sigonda (Songwe).

Jimbo la Mbeya Mjini, mbunge anayemaliza muda wake Benson Mpesya, ameibuka na ushindi kwa kura 5,586 dhidi ya 3,362 za Thomas Mwang'onda.
 
Kama ni huy Tom amefulia sana siku hizi alijaribu kufungu duka la mchele pale sinza palestina limekufa, mzee wake Apson amemeamua kuwa mkulima huko mbeya, alikuwa loliondo kwa babu sukari inamsumbua kweli
 
Back
Top Bottom